Home Uncategorized NIYONZIMA AOA KIMYAKIMYA MKE WA PILI

NIYONZIMA AOA KIMYAKIMYA MKE WA PILI

HARUNA Niyonzima kiungo mchezeshaji wa Klabu ya Yanga ameoa mke wa pili jijini Dar es Salaam.


 Taarifa zinaeleza mwanadada huyo aitwaye Cassandra Rayan na Niyonzima wamefunga ndoa ya kimyakimya.

 Nahodha Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul Mnyamani ndiye alikuwa best wakati ndoa ikifungwa.

SOMA NA HII  KAMATI MPYA YA USAJILI YANGA NOMA