Home Uncategorized SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUWA NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA

SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUWA NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA

MOHAMED Hussein,’Tshabalala’ ni beki wa kushoto ndani ya klabu ya Simba pia ni nahodha msaidizi akifanya kazi na John Bocco ambaye ni kapteni mkubwa.

Kwenye kikosi hicho pia amemtaja swahiba wake Ibrahim Ajibu ambaye hana nafasi kikosi cha kwanza huku akisema kuwa sababu kuwa ya kuwa kwenye kikosi hiki ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa kuliko wachezaji wengi wanaoshiriki Ligi Kuu Bara.

Hiki hapa ni kikosi chake cha kwanza anachokiamini iwapo angepewa nafasi ya kukipanga naye pia anajipanga kwa kuwa anasema huwezi kuacha kumtaja Tshabalala ukitaja mabeki wa kushoto:-

1. Manula wa Simba

2. Kapombe wa Simba

3. Tshabalala wa Simba

4. Nyoni wa Simba

5. Yondani wa Yanga

6. Mkude wa Simba

7. Chama wa Simba

8. Sure Boy wa Azam FC

9. Bocco wa Simba

10. Kagere wa Simba

11. Ajibu

SOMA NA HII  Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa