Home Uncategorized CHEKI MOTO WA KIKOSI BORA CHA MSIMU WA 2019/20

CHEKI MOTO WA KIKOSI BORA CHA MSIMU WA 2019/20


ZOEZI la kutafuta kikosi cha mashabiki kwa msimu wa 2019/2020 lilipamba moto kupitia ukurasa wa Instagram wa mtangazaji wa Azam TV, Baraka Mpenja ambapo ilikuwa ni fursa kwa mashabiki kuchagua wachezaji  ambao wanana wanastahili kuingia kikosi cha kwanza.


Mpenja amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kutokana na ushindani kuwa mkubwa, miongoni mwa nafasi ambazo zilikuwa na ushindani mkubwa ilikuwa ni ya kiungo wa Azam FC, Sure Boy na yule wa Yanga, Haruna Niyonzima.

Hiki hapa kikosi kamili:-

Mlinda mlango ni Aishi Manula wa Simba

Shomari Kapombe wa Simba

Mohamed Hussein  wa Simba

Pascal Wawa wa Simba

Erasto Nyoni wa Simba

Jonas Mkude wa Simba

Luis Miquissone wa Simba

Salum Abubakar wa Azam FC

Medie Kagere wa Simba

Clatous Chama wa Yanga

Bernard Morrison  wa Yanga

Kocha amechaguliwa Sven Vandernbroeck (Simba SC)
.
🙏Asante nyote kwa kushiriki zoezi hili, ambalo limetuweka pamoja🙏…
.
Cc: Mratibu @rashid_seif1
SOMA NA HII  FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC