Home Uncategorized KIBAILO KUTAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UKIKAMILIKA

KIBAILO KUTAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UKIKAMILIKA


HASSAN Kibailo, beki wa kulia wa Klabu
ya Coastal Union amesema kuwa atataja atakapokuwa msimu ujao pale msimu utakapokamilika.

“Bado ligi haijaisha hivyo siwezi kuzungumza kuwa nitakuwa wapi wakati nipo ndani ya Coastal Union, msimu ukikamilika nitajua wapi nitakapokuwa,” amesema.

Coastal Union ipo nafasi ya tano kwenye msimamo kibindoni ina pointi 46.

Kwa sasa ligi imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

SOMA NA HII  AFANDE SELE AZICHANA VIBAYA SIMBA NA YANGA 'HAWANA KWAO' - VIDEO