Home Uncategorized MTUPIAJI HUYU AKUBALI KUTUA YANGA

MTUPIAJI HUYU AKUBALI KUTUA YANGA

Mshambuliaji wa timu ya Kagera Suga,Yusuf Mhilu amesema kwamba yupo tayari kurudi katika klabu ya Yanga

kama uongozi wa klabu hiyo utatekeleza mahitaji yake.

Mhilu amesema kwamba kwa sasa bado hajafanya mazungumzo na Yanga zaidi ya kusikia tetesi kwamba anahitajika na klabu hiyo ambayo amewahi kuhudumu kwenye timu ya vijana.

Amesema kwamba kwa sasa yupo huru kuzungumza na timu yeyote itakayomuhitaji.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TANZANIA PRISONS