Home Uncategorized WANA MICHEZO WANA NGUVU KUBWA KULIKO HATA WANASIASA IWAPO WATAFANYA HIVI

WANA MICHEZO WANA NGUVU KUBWA KULIKO HATA WANASIASA IWAPO WATAFANYA HIVI

Mwandishi Saleh Ally Jembe amesema wanamichezo wana nguvu kubwa ya kupambana na Corona kuliko hata wanasiasa.

Akihojiwa na ETv, Salehjembe amesema anaona wanamichezo wengi wakiwemo wanasoka wanaona vita dhidi ya Corona kama haiwahusu.


“Wangekuwa wanaandika ujumbe mara kwa mara ule ambao unatolewa na wataalamu kwa lengo la kuifundisha jamii kwa ajili ya kutambua athari za ugonjwa huo, namna ya kujikinga na kadhalika, ungekuwa ni msaada mkubwa sana kwa kuwa jamii inawaamini na wana watu wengi sana nyuma yao.”

SOMA NA HII  BAADA YA KUDUMU MIAKA 21 MUSONYE ASEMA AMESHINDA CHOKOCHOKO NYINGI NDANI YA CECAFA