Alliance Girls wamepata ajali wachezaji eneo la Buhongwa, Mwanza walikua wakitoka Kigoma walikocheza jana mechi yao na Kigoma Sisterz
Poleni sana wana Alliance Girls, kuna majeruhi, tuwaombeeni nafuu ya haraka.
Kwa sasa taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wanne wamepata majeraha ila wapo hospital.