Home Uncategorized BREAKING: SIMBA KUANZA NA RUVU,NDANDA NA BIASHARA

BREAKING: SIMBA KUANZA NA RUVU,NDANDA NA BIASHARA


HII hapa ratiba za mechi za mwanzo kabisa ndani ya mwezi Juni Baada ya Serikali kuruhusu masuala ya michezo kuanzia Juni Mosi:-
Juni 14, Simba v Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa

Azam FC v Mbao, Uwanja wa Azam Complex

Juni 17,JKT Tanzania v Yanga, Uwanja wa Jamhuri

Hizi hapa zitachezwa Juni 20

JKT Tanzania v Singida United,Uwanja wa Jamhuri

Ndanda v Biashara United, Uwanja wa Nangwanda

Namungo v Kagera Sugar, Majaliwa

Coastal Union v Mtibwa Sugar. Mkwakwani

Polisi Tanzania v Lipuli, Ushirika

Mbeya City v Alliance, Sokoine

KMC v Ruvu Shooting, Uhuru

Simba v Mwadui, Uwanja wa Taifa

SOMA NA HII  PRISONS WAPANIA KULIPA KISASI KWA YANGA LEO TAIFA