Home video VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI

VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ilikuwa ngumu kwake kupata ushindi jana Juni 26 mbele ya Azam FC kwa kuwa ulikuwa ni mchezo mgumu hasa kwa kipindi cha kwanza jambo ambalo lilimfanya abadili mbinu kipindi cha pili.


 Ameongeza kuwa anafurahi kuona wachezaji wake wakiwa wametinga hatua ya fainali na ilikuwa ni malengo ya Simba kuweza kushinda kila mataji ambayo wanayatarajia.

 Kuhusu kufanisha Yanga na Azam FC amesema kuwa kuna utofauti kati ya hizo timu ila imani yake ni kwamba Simba ni timu bora huku akiwashuruku mashabiki na kuwaambia kwamba anawasubiri kwenye Karikaoo Dabi Julai 3.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MORRISON AMPIGIA SIMU BOSI GSM