Home Uncategorized JAMHURI DODOMA, JKT TANZANIA V YANGA, MAMBO YAPO NAMNA HII

JAMHURI DODOMA, JKT TANZANIA V YANGA, MAMBO YAPO NAMNA HII


MASHABIKI wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kushuhudia burudani ya mechi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza muda mfupi ujao.

Leo Juni 17, JKT Tanzania atakuwa mwenyeji wa Yanga kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa majira ya saa 10:00.

Hali ilivyo uwanjani ni namna hii huku tahadhari ikiwa imefika hatua hii dhidi ya Virusi vya Corona.

SOMA NA HII  GAMONDI ALIAMSHA AKATAA UTARATIBU HUU WA VIONGOZI WA YANGA