Home Uncategorized LIVE:YANGA 0-0 NAMUNGO FC

LIVE:YANGA 0-0 NAMUNGO FC


Kipindi cha Kwanza 
Uwanja wa Taifa

Yanga 0-0 Namungo FC

Dakika 45 zimekamilika inaongezwa moja
Dakika ya 45 Nchimbi ndani ya 18 anacheza faulo
Dakika ya 44 Said Juma anapiga off target pasi ya Deus Kaseke 
Dakika ya 41 Mapinduzi Balama anafanya jaribio linakuwa ni  off target, Nchimbi anafanya jaribio inakuwa off target nyingine 
Dakika ya 39 Bigirimama Blaise anafanya jaribio halizai matunda 
Dakika ya 37, George wa Namungo anagongesha shuti lake Kwenye mwamba wa MnataDakika ya 30 Yondani anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 29 Nchimbi anamchezea faulo Jukumu Kibanda
Dakika ya 28 Abdul anachezewa fauloDakika ya 20 Lusajo anafanya jaribio linaishia mikononi mwa Mnata 
Dakika ya 17 Balama Mapinduzi anafanya jaribio nje yab18 linagonga mwamba.
Dakika ya 10 Fei Toto anafanya jaribio halizai matunda Dakika ya 7 Patrick Sibomana alifunga bao mwamuzi amesema ameotea

SOMA NA HII  SIMBA YAIPOTEZA YANGA JUMLAJUMLA NDANI YA DAKIKA 270