Home Uncategorized MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA HAYA...

MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA HAYA HAPA, SINGIDA UNITED NDO HIVYO TENA


HAYA hapa matokeo ya mechi za leo zilizochezwa za Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ya Singida United bado ni tete, yapokea kichapo tena mbele ya Mtibwa Sugar:-

 Ruvu Shooting 0-0 Ndanda SC, Uwanja wa Mabatini.

 Mbao FC 1-0 Coastal Union bao limepachikwa na Jordan John dakika ya 6 Uwanja wa Kirumba.

 Mwadui FC 3-0 Lipuli FC mabao yamejazwa kimiani na Isihaka Kauju dk 26 alijifunga, Wallace Kiango dakika ya 66 na Omary Daga dk 83 Uwanja wa Kambarage.

 Singida United 1-3 Mtibwa Sugar watupiaji ni Ramadhani Hashim dk ya 87 kwa Singida United, Boban Zirintusa dakika ya 7 na 25’, Riphat Msuya dakika ya 64 kwa Mtibwa Sugar, Uwanja wa Liti.

 Tanzania Prisons 2-2 JKT Tanzania kwa Prisons ni Adily Buha 47’ na Jeremiah Juma 83’ | Michael Aidan 16’, Mohamed Rashid 68′ kwa JKT Tanzania.

SOMA NA HII  BAADA YA KUIREJESHA AZAM KIMATAIFA, CHIRWA AJISOGEZA YANGA