Home Uncategorized MBWANA SAMATTA LEO ANA BONGE MOJA YA KAZI HUKO ENGLAND

MBWANA SAMATTA LEO ANA BONGE MOJA YA KAZI HUKO ENGLAND


ASTON Villa leo ina kazi nzito ya kupambana na Klabu ya Sheffield kwenye mchezo wa Ligi Kuu England unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 2:00 usiku.

Mbwana Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga ndani ya Aston Villa leo ana kazi ya kufanya mbele ya wapinzani wake hao ambao wapo vizuri kwenye msimamo.

Aston Villa ikiwa inapambana kutafuta nafasi ya kubaki kwenye ligi msimu ujao ipo nafasi ya 19 kibindoni ina pointi zake 25.

Wapinzani wao Sheffield United wapo nafasi ya saba kwenye msimamo kibindoni wana pointi 43.

SOMA NA HII  MBWANA SAMATTA ATUMA UJUMBE HUU KWA WATANZANIA