Home Uncategorized TSHABALALA ANA MKWARA ETI AKAFANYIWE VIPIMO VYA MABEGA KISA KUNYANYUA MATAJI, LEO...

TSHABALALA ANA MKWARA ETI AKAFANYIWE VIPIMO VYA MABEGA KISA KUNYANYUA MATAJI, LEO WANATIA TIMU DAR

NDANI ya Ligi Kuu Bara Mojamed Hussein ‘Tshabalala’ amefunga mabao mawili na kutoa pasi mbili za mabao kwa msimu wa 2019/20.

Hivyo amehusika kwenye jumla ya mabao manne kati ya 78 yaliyofungwa na Simba. 

Jana, Agosti 2 alikuwa sehemu ya kikosi kilichoanza mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC. 

Simba ilishinda mabao 2-1 kwenye mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Nelson Mandela. 

‘Tshabalala ‘ nahodha msaidizi wa Simba amesema anahitaji kwenda kufanyiwa vipimo vya mabega.

Leo Klabu ya Simba inarejea kutoka Mbeya ilipokuwa jana baada ya kumalizana na Namungo FC Sumbawanga waliibukia Mbeya ambapo ndipo ametoka leo kwa ajili ya kuendelea na furaha ya ushindi.

SOMA NA HII  MWAKINYO NA MUARGENTINA WATAMBIANA KABLA YA KUKUTANA KUZICHAPA