Home Uncategorized SIMBA YAPIGA 5 G LEO UHURU

SIMBA YAPIGA 5 G LEO UHURU

Verified

SIMBA leo imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 mbele ya African Lyon kwne mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibu aliyetupia mabao mawili, dakika ya 25 na 30.

Wengine waliocheka na nyavu ni pamoja na Tairone Santos dakika ya 28, Mzamiru Yassin dakika 32 na Deo Kanda dakika ya 87.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa sababu kubwa ya kucheza mechi za kirafiki ni kutafuta mechi fitnesi kwa wachezaji wake.

SOMA NA HII  ARSENAL WASHINDA KIBABE MBELE YA BURNLEY, YAJIPIGIA VIDUDE VIWILI