Home Uncategorized BAO LA MARADONA LATIMIZA MIAKA 21

BAO LA MARADONA LATIMIZA MIAKA 21



IMETIMIA miaka 26 tangu gwiji wa soka duniani, Diego Maradona kufunga bao kwenye timu yake ya Taifa ya Argentina dhidi ya Ugiriki kwenye fainali ya Kombe la dunia 1994.

Bao hilo la kipekee nyota huyo alifunga akiwa nje ya box kwenye mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia kwa guu la kushoto nchini Marekani.

Bao hilo lilimfanya Maradona akimbie kwenye kamera akishangilia kwa nguvu kwa furaha ya kuifungia bao timu yake kwenye mchezo wa ufunguzi.

Miaka nane mbele, Maradona aliangukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ambayo yalimpoteza kwenye ramani ya soka na kwenye Kombe la dunia 1994 Brazil ilisepa na taji hilo mazima.

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO HUKUMU YA MORRISON ILIYOMALIZWA, YANGA RUKSA KUKATA RUFAA