Home Uncategorized VPL: YANGA 2-2 NDANDA

VPL: YANGA 2-2 NDANDA

UWANJA wa Taifa kipindi cha Kwanza

Yanga 2-2 Ndanda

Goal dk ya 45 Kaseke

Dakika 45 zimekamilika zinaongezwa 2

Dakika ya 44 Makapu anaokoa hatari iliyokuwa inaelezwa Yanga
Dakika ya 40 Yanga wanapeleka mashambulizi Ndanda
Dakika ya 38 Molinga anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 37 Kaseke anachezewa faulo

Dakika ya 36 Mponda anapiga off target ndani ya 18
Dakika ya 36 Mayanga amecheza faulo
Dakika ya 31 Adeyum anapiga kona kwa Yanga inagonga mwamba

Dakika ya 30 Juma Abdul anamwaga maji
Dakika ya 29 Fei Toto anachezewa faulo

Dakika ya 27 Molinga anaotea

Dakika ya 19 Adeyum anapiga faulo inagonga mwamba

Goal la Ndanda Omary Abdul

Goal Ndanda Abdul Seleman dk 9

Goal Yanga, Deus Kaseke

SOMA NA HII  SIMBA KUKOSA HUDUMA YA NYOTA WAKE WAWILI JUMLA, WENGINE WAWILI WATEGEMEA MAAMUZI YA SVEN