Home Uncategorized MBELGIJI WA YANGA ATAJA MITAMBO ILIYOCHANGIA UBINGWA SIMBA

MBELGIJI WA YANGA ATAJA MITAMBO ILIYOCHANGIA UBINGWA SIMBA


LUC Eymael raia wa Ubelgiji,aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa Nyota wa Simba, Meddie Kagere na Francis Kahata ni miongoni mwa nguzo imara ambazo zimefanikisha mafanikio ya kikosi hicho kutwaa ubingwa.
 Wachezaji hao wamehusika kwenye jumla ya mabao 40 ya Simba kati ya 78 yaliyofungwa kwenye mechi 38.
Kagere raia wa Rwanda amefunga mabao 22 na pasi sita za mabao huku Kahata raia wa Kenya akiwa amefunga mabao manne na pasi nane za mabao.
Eymael ameliambia Championi Jumatatu kuwa:”Kagere na Kahata ni wachezaji wazuri ndani ya Simba kwani wamekuwa wakitimiza majukumu yao na huwa inakuwa ngumu pia kwa Simba kucheza bila 
hao hivyo kwenye mafanikio yao nao huwezi kuwaach Leo, Julai 27 Yanga imethibitisha kuachana na Eymael kutokana na vitendo vyake visivyo vya kiungwana hasa katika masuala ya ubaguzi.
SOMA NA HII  MAYELE ALISTAHILI TUZO MBELE YA HUYU MWAMBA