Home Uncategorized RASMI UWANJA WA TAIFA WABADILISHWA JINA SASA KUITWA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

RASMI UWANJA WA TAIFA WABADILISHWA JINA SASA KUITWA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

RASMI sasa Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam umebadilishwa jina na utaitwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Leo, Julai 28,2020, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema hayo wakati akitoa hutoba kwenye maombolezo ya kumuaga Benjamini William Mkapa aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu.

SOMA NA HII  KAGERA SUGAR: TUNAWAHESHIMU SIMBA ILA POINTI ZAO TUNAZITAKA PIA