LEO ndani ya Ligi Kuu Bara, Julai 23 mambo yapo namba hii:-
Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex
Lipuli FC v Ruvu Shooting, Uwanja wa Samora.
Polisi Tanzania v JKT Tanzania, Ushirika .
Coastal Union v Simba, Mkwakwani
Alliance v Ndanda FC, Uwanja wa Nyamagana.
Mechi zote zitapigwa saa 10:00 jioni isipokuwa ile ya Azam FC dhidi ya Mbeya City itapigwa saa 1:00 usiku.