Home Uncategorized RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA

Leo Julai 5 VPL

Biashara United v Yanga, Uwanja wa Karume.

Alliance v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Nyamagana. 

Mbeya City v Coastal Union,  Uwanja wa Sokoine.

Azam v Singida, Azam Complex.

Ndanda v Simba, Nagwanda Sijaona.

Mechi zote zitachezwa saa 10:00 jioni isipokuwa ile ya Uwanja wa Azam Complex itakuwa saa 1:00 Usiku.

SOMA NA HII  MBAPPE AMKOMALIA NEYMAR AMTAKA ABAKI PSG