Home Uncategorized SIMBA WANA BALAA KILA KONA WAKIMBIZA KWENYE TUZO ZA MCHEZAJI BORA, ORODHA...

SIMBA WANA BALAA KILA KONA WAKIMBIZA KWENYE TUZO ZA MCHEZAJI BORA, ORODHA YA WACHEZAJI 30 HII HAPA


Hii hapa orodha ya wachezaji 30 waliochaguliwa kuingia kwenye mchakato wa kusaka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara,2019/20 baadaye watapunguzwa kufika 10:-

Nico Wadada, Idd Seleman ‘Nado’ na Obrey Chirwa (Azam FC), Abdulmajid Mangaro, Daniel Mgore, (Biashara United), Ayoub Lyanga na Bakari Mwamnyeto, (Coastal Union),David Luhende, Yusuph Mhilu na Awesu Awesu (Kagera Sugar) Wazir Junior, (Mbao).

Lukas Kikoti, Bigirimana Blaise na Relliants Lusajo,(Namungo FC), Shomari Kapombe, Meddie Kagere, Aishi Manula,Clatous Chama,Francis Kahata,John Bocco, Jonas Mkude na Luis Miqussone wa Simba.

Mapinduzi Balama, Deus Kaseke, David Molinga, Juma Abdul na Feisal Salum wa Yanga,Martin Kigi wa Alliance, Daruesh Saliboko wa Lipuli FC na Marcel Kaheza wa Polisi Tanzania. 

SOMA NA HII  SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGA BAO LA KUOTEA