Home Uncategorized SIMBA YAIPIGA ALLIANCE FC MABAO 11

SIMBA YAIPIGA ALLIANCE FC MABAO 11

ALLIANCE FC iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo ikiwa na pointi 21 baada ya kucheza mechi 35 haijawahi kusepa na pointi tatu mbele ya Simba.

Imepanda daraja msimu wa 2018/19 ambapo Kwenye mechi yao ya Kwanza walionja joto ya jiwe kwa kunyooshwa mabao 5-1.

Mchezo wa pili ikanyooshwa mabao 2-0. Msimu wa 2019/20 mchezo wa kwanza, Uwanja wa Kirumba, Simba ilishinda mabao 4-1.

Jumla Simba imeifunga Alliance mabao 11 na imefungwa mabao mawili ndani ya mechi tatu na kesho wanakutana Uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR WAFANYA MABORESHO BENCHI LA UFUNDI