Home Uncategorized HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA

HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA

SVEN Vandenbroeck, Ko

cha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa wa mezani.

Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Simba ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28.

Sven amesema:”Jambo la msingi ni kuona kwamba tunacheza mechi zetu zote 10 kuliko kufikiria kupewa ubingwa kabla ligi haijaisha lakini suala la ligi kurejea halipo mikononi mwetu zipo mamlaka husika zinasimamia,”.

SOMA NA HII  MWILI WAFUKULIWA, WAVULIWA SARE ZA KAZI