Home Uncategorized VPL: LIPULI 0-1YANGA

VPL: LIPULI 0-1YANGA


UWANJA wa Samora mchezo Ligi Kuu Bara kati ya Lipuli na Yanga ni mapumziko 

Mashabiki wamejitokeza kuona burudani ya mwisho ndani ya Uwanja Samora. Yanga ipo mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na David Molinga dk ya 39.


SOMA NA HII  VIDEO: BAO LA 12 LA MHILU MBELE YA AZAM FC LILIKUWA NAMNA HII