Home Uncategorized VPL: POLISI TANZANIA 1-1 SIMBA

VPL: POLISI TANZANIA 1-1 SIMBA

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba ni kipindi cha kwanza Uwanja wa Ushirika,Moshi.

kabla ya mchezo wachezaji walitoa heshima kwa kusimama kwa muda wa dakika moja kwa ajili ya kumpa heshima Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.

Simba ipo sawa kwa kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania. 

John Bocco dakika ya pili alifunga kwa Simba na Polisi Tanzania imeweka usawa dakika ya 32 kupitia kwa Marcel Kaheza kwa penalti

SOMA NA HII  MBEYA CITY HAWANA BAHATI NA BOCCO UWANJA WA SOKOINE