Home Uncategorized WAKALI WA KUSEPA NA CLEAN SHEET BONGO HAWA HAPA

WAKALI WA KUSEPA NA CLEAN SHEET BONGO HAWA HAPA


KINARA kwa Ligi Kuu Bara kujikusanyia clean sheet za kutosha ndani ya Ligi Kuu Bara anaitwa Aishi Manula anazo 17.

Anafuatiwa na mzawa mwingine huyo pichani anaitwa Daniel Mgore anakipiga ndani ya Biashara United anazo 16.

Soud Abdalah wa Coastal Union anafuata akiwa nazo 15 kibindoni.

Ally Mustapha anayekipiga Ndanda yupo kwenye ubora akiwa nazo 14 licha ya timu yake kupambania leo nafasi ya kubaki ndani ya ligi.

Jeremiah Kisubi wa Tanzania Prisons yupo pia akiwa nazo 13.

Nurdin Barola wa Namungo FC yupo nazo 12 yeye ni raia wa Burkina Faso.

Mohamed Ally wa Polisi Tanzania anazo clean sheet 11.

SOMA NA HII  SIMCHIMBA AIOKOA AZAM FC USIKU MIKONONI MWA JKT TANZANIA