Home Uncategorized CHAMA ATWAA TUZO YA KIUNGO BORA VPL 2019/20, AWAPOTEZA KIKOTI NA MAPINDUZI

CHAMA ATWAA TUZO YA KIUNGO BORA VPL 2019/20, AWAPOTEZA KIKOTI NA MAPINDUZI

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo Agosti 7 ametwaa tuzo ya Kiungo Bora ndani ya msimu wa 2019/20. Kilele cha sherehe hizo ni ukumbi wa Mlimani City, Dar.

Chama amewashinda washindani wake ambao ni Lukas Kikoti wa Namungo mwenye pasi saba za mabao huku akitupia mabao manne pamoja na Mapinduzi Balama wa Yanga mwenye mabao matatu na pasi moja ya bao.

Chama ametupia jumla ya pasi 10 za mabao huku akifunga mabao mawili kwa msimu wa 2019/20.

SOMA NA HII  KING KIBA AFAFANUA JUU YA NGOMA YAKE MPYA