Home Uncategorized FA FAINALI: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC

FA FAINALI: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC

Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nelson Mandela: Simba 2-0 Namungo FC 
Dakika ya 38 Goal Bocco asisti Luis
Dakika ya 32 Bocco anapewa huduma ya Kwanza Dakika ya 27 Goooal, Luis
Dakika ya 25 Kahata anatoka anaingia Dilunga 
Dakika ya 23 Kahata anapewa huduma ya kwanzaFainali Kombe la Shirikisho
Dakika ya 19 Chama anapiga faulo inatua Kwenye kichwa cha Mkude unagonga mwambaDakika ya 17 Parkos wa Namungo anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 16 Bigirimama Blaise anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 mbele ya mabeki wanne ikiwa ni Fraga, Mkude
Dakika ya 14 Luis anapiga shuti linapaa angani

Dakika ya 13 kwa sasa

SOMA NA HII  GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA