Home Uncategorized JUMA ABDUL BALAA LAKE LIPO KWENYE GUU LA KULIA

JUMA ABDUL BALAA LAKE LIPO KWENYE GUU LA KULIA


JUMA Abdul amekuwa bora ndani ya msimu wa 2019/20 ndani ya kikosi cha Yanga akiweza kuweka rekodi ya kuwa nyota kinara aliyecheza jumla ya mechi 30 kati ya 38 za ligi.


Mbali na kuwa kinara wa kucheza mechi nyingi ndani ya Ligi uu Bara pia ni namba moja kwenye kikosi hicho kwa kumwaga maji akitokea pembeni.

Ametoa jumla ya pasi sita za mabao ndani ya kikosi hicho ambacho kimemaliza kikiwa nafasi ya pili kwenye  msimamo na pointi 72.

Yanga imetupia jumla ya mabao 45 ambapo Abdul amehusika kwenye mabao 45.

 Abdul amesema kuwa guu lake la kulia limekuwa likikutana na mipira yote aliyotengeneza pasi hizo.

SOMA NA HII  MBELGIJI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA NYOTA WANNE, UONGOZI WA YANGA WATAJA MBINU INAYOTUMIKA