Home Uncategorized KOCHA MPYA YANGA AOMBA WIKI TATU KUTIA TIMU BONGO, MAAMUZI YAPO HIVI

KOCHA MPYA YANGA AOMBA WIKI TATU KUTIA TIMU BONGO, MAAMUZI YAPO HIVI


 UONGOZI  wa Klabu ya Yanga, leo Agosti 26 umesema kuwa unamtafuta kocha mwingine atakayekuwa mbadala wa Cedric Kaze raia wa Burundi ambaye alikuwa kwenye mpango wa kuja hivi karibuni.

Kaze alikuwa anatarajiwa kuja ndani ya wiki hii kuchukua mikoba ya Luc Eymael raia wa Ubelgiji ambaye alifutwa kazi rasmi Julai 27 kutokana na vitendo vya ubaguzi.

 

Taarifa iliyotolewa imeeelza kuwa Kaze ameomba aongezewa wiki tatu mbele ndio awasili nchini jambo lililowafanya waamue  kumpata kocha mwingine kupitia barua ambazo zilitumwa na makocha kuhitaji kazi ndani ya Yanga.


Taarifa ipo hivi:-


SOMA NA HII  MWAMBA HUYU HAPA ALIYEBADILISHA MCHEZO SIMBA vs AL AHLY