Home Habari za michezo MWAMBA HUYU HAPA ALIYEBADILISHA MCHEZO SIMBA vs AL AHLY

MWAMBA HUYU HAPA ALIYEBADILISHA MCHEZO SIMBA vs AL AHLY

Habari za Simba

Sadio Kanoute Putin mimi napenda kumuita Midfielder Dynamo.

To be honest kipindi cha pili kijana kabadilisha mchezo mzima…..kwanza kaongeza kasi ya mchezo,fujo kwenye pressing na urefu wa feet 6’2 kwenye box la Al ahly.

Kipindi cha kwanza Simba hawakuwa vizuri kwenye kuzuia kwani muda mwingi walikaba nafasi (zonal Marking) kwenye 4-2-3-1 mid-block kuliko kutembea na mtu (man 2 man marking) hivyo Al ahly walipata mianya mingi ya kupenya kati kati ya uwanja na kumsumbua mnyama.

Lakini kipindi cha pili baada ya Kanoute kuingia Simba walitoka kwenye Mid-block na kuanza kufanya High pressing kwa fujo kitu kilichopelekea Al ahly kufanya makosa mengi na kuruhusu goli mbili.

Heshima kwa Sadio Kanoute

SOMA NA HII  BAADA YA MANGUNGU KUSHINDA TENA SIMBA...HAYA HAPA MAMBO 4 PASUA KICHWA YANAYOMKABILI...