Home Uncategorized TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA

TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA

TAYARI ratiba ya Ligi Kuu Bara imeshatoka na kila timu ishajua nani ataanza naye kwenye ligi msimu wa 2020/21.


Hizi hapa mechi tano za kikosi cha Yanga:-


 
Septemba 6, 2020, Yanga vs Tanzania Prisons- Uwanja wa Mkapa, Dar.

 
Septemba 13, 2020, Yanga vs Mbeya City- Uwanja wa Mkapa, Dar. 

Septemba 19, 2020, Kagera Sugar vs Yanga SC- Uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Septemba 27, 2020, Mtibwa Sugar vs Yanga SC-, Uwanja wa Jamhuri-Morogoro.

Oktoba 3, 2020, Yanga SC vsCoastal Union- Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  KOCHA IHEFU FC APIGA HESABU ZA KUSAJILI WAZOEFU DIRISHA DOGO