Home Uncategorized BEKI YANGA ‘AJIFUNGA’ MWAKA MMOJA KMC

BEKI YANGA ‘AJIFUNGA’ MWAKA MMOJA KMC

 

Andrew Vincent maarufu kama Dante ametambulishwa leo Agosti 18 ndani ya KMC kwa dili la mwaka mmoja kukipiga ndani ya kikosi cha wana Kino.

Beki huyo amesajiliwa akiwa huru baada ya kuachwa na Yanga msimu wa 2019/20.

Kwenye dirisha la usajili nyota huyo amekuwa wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho.

SOMA NA HII  BODI YA LIGI LAZIMA ITANGAZE ADHABU YA WALIOISHUSHA KAGERA SUGAR, LA SIVYO VIONGOZI WA JUU WAWAJIBIKE