Home Uncategorized VIDEO: HAJI MANARA ANAFUNGUKA YOTE KUHUSU SENZO, BENARD MORRISON, KUELEKEA SIMBA DAY...

VIDEO: HAJI MANARA ANAFUNGUKA YOTE KUHUSU SENZO, BENARD MORRISON, KUELEKEA SIMBA DAY KESHO…

  

HAYA ni Mahojiano maalum na msemaji wa mabingwa wa nchi, Simba SC, Ndugu Haji Manara, akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu klabu hiyo ikiwa ni siku moja tu imebaki kufikia Agosti 22, kwenye kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika kwenye viwanja viwili Uwanja wa Mkapa na Uhuru… 

 

Aidha Manara amezungumzia kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa C.E.O wa Simba, 

 

Senzo Mazingiza, ambaye kwa sasa amejiunga na Yanga, lakini pia usajili wao walioufanya kwa msimu huu… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

SOMA NA HII  STAA MPYA YANGA YAMKUTA MAKUBWA, ISHU YA SAUZI IPO LAIVU NI KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI