Home Uncategorized WINGA SIMBA AIBUKIA POLISI TANZANIA

WINGA SIMBA AIBUKIA POLISI TANZANIA

 

RASHID Juma, winga wa Simba amejiunga na Klabu ya Polisi Tanzania kwa mkopo kwa wa mwaka mmoja.

Nyota huyo msimu wa 2020/21 atakuwa ndani ya Polisi Tanzania yenye maskani yake Kilimanjaro.

Ndani ya Simba ambao ni mabingwa watetezi hakupata nafasi ya kuwika kwa msimu wa 2019/20 kutokana na ufinyu wa namba.

Pia ilipaswa atolewe kwa mkopo msimu uliopita ila nyota huyo inaelezwa kuwa hakuwa tayari ila msimu huu amekubali kuibukia ndani ya Polisi Tanzania .

SOMA NA HII  PACHA WA MWAMNYETO, AME, PICHA ZIMA KUIBUKIA SIMBA LIMECHEZWA HIVI