Home Uncategorized HIZI HAPA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA ZITASAKA POINTI TATU

HIZI HAPA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA ZITASAKA POINTI TATU


LEO Septemba 26, Ligi Kuu Bara inaendelea ikiwa ni raundi ya nne.


Hizi hapa timu ambazo zitakuwa kazini kusaka pointi tatu namna hii:- Polisi Tanzania iliyo nafasi ya 10 na pointi zake nne itawakaribisha Dodoma Jiji iliyo nafasi ya nne na pointi saba Uwanja wa Ushirika Moshi.Majira ya saa 8:00 mchana.

Tanzania Prisons iliyo nafasi ya tisa ikiwa na pointi nne itawakaribisha  Azam FC iliyo nafasi ya pili na pointi zake tisa Uwanja wa Nelson Mandela.Majira ya saa 10:00 jioni.

Simba iliyo nafasi ya tatu itamenyana na  Gwambina FC iliyo nafasi ya 13 na pointi moja kibindoni.Itakuwa ni saa 1:00 jioni.

SOMA NA HII  YANGA YATOA DOZI KWA WABOSTWANA, AZAM NAYO MWENDO MDUNDO, YATOA KICHAPO CHA MAANA