Home Uncategorized MCHEZO WA KIRAFIKI: SIMBA 0-0 AFRICAN LYON

MCHEZO WA KIRAFIKI: SIMBA 0-0 AFRICAN LYON

 

Simba 0-0 African Lyon 
Uwanja l: Azam Complex 

Dakika ya 26 Afrika Lyon wanapata faulo

Dakika ya 23 Mkude anachezewa faulo 
Dakika ya 22 Mugalu anapaisha ndani ya 18

UWANJA wa Azam Complex muda huu ni mchezo wa kirafiki kati ya Simba na African Lyon. 


Kipindi cha kwanza ushindani umeonekana kuwa mkubwa kwa timu zote mbili kupambana kusaka ushindi.


Mashabiki wamejitokeza uwanjani kushuhudia burudani licha ya kwamba sio wengi ila sio haba katika hili.

SOMA NA HII  PROMOTA WA KIDUKU ATAFUTWA NA POLISI KWA MADAI YA UTAPELI