Home Uncategorized SIMBA INA HESABU ZA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA WAARABU

SIMBA INA HESABU ZA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA WAARABU

 

Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez  akiongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi wametembelea makao makuu ya klabu ya Al Ahly yaliyopo jijini Cairo, Misri na kukubalina kushirikiana kwenye maeneo ya biashara, ufundi na uendelezaji wa wachezaji kwa kujenga kituo cha kukuza vipaji kwa ushirikiano na timu ya Al Ahly ikiwa ni kituo cha kwanza nje ya Misri (barani ya Afrika) ambacho kitaendeshwa na Simba na klabu hiyo.

Pia wamekubaliana hapo baadae timu hiyo kuja nchini kucheza mchezo wa kirafiki na Simba SC.

SOMA NA HII  YANGA WATAJWA KUKAMILISHA DILI LA NYOTA MZAWA ALIYEKIPIGA HISPANIA