Home Uncategorized MECHI TATU ZA LEO VPL ZIPO NAMNA HII

MECHI TATU ZA LEO VPL ZIPO NAMNA HII


 LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi tatu kukamilisha mzunguko wa kwanza namna baada ya jana kuchezwa mechi saba  hii:-


KMC v Mbeya City, Uwanja wa Uhuru majira ya saa 8:00 mchana.


Kagera v JKT Tanzania, Uwanja wa Kaitaba majira ya saa 10:00 jioni


Azam FC V Polisi Tanzania, Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 jioni.

SOMA NA HII  BALAA LA MZAMBIA ANAYEWINDWA NA SIMBA ACHA KABISA, DAU LAKE NOMA