Home Uncategorized MSHAHAMBULIAJI YANGA APATA DILI RWANDA

MSHAHAMBULIAJI YANGA APATA DILI RWANDA

 

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda.


Timu hiyo inashiriki lia Ligi Kuu ya nchini Rwanda na awali ilikuwa inaelezwa kuwa angetua ndani ya Klabu ya SC Kiyovu.


Nyota huyo mwenye miaka 25 ameibuka ndani ya Polisi Rwanda baada ya kuvunjiwa mkataba wake na Yanga kutokana na kutokubali uwezo wake .


Akiwa Yanga, msimu wa 2019/20 alitupia jumla ya mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara kati ya mabao 45.

SOMA NA HII  SAKATA LA MORRISON LIKIWA LIMETUA TFF, SIMBA WALIJIBU KIMTINDO NAMNA ISHU ILIVYO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here