Home Uncategorized KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS, ILANFYA NDANI

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS, ILANFYA NDANI

860
0


 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela, Mbeya. Charlse Ilanfya kuanza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na Simba akitokea Klabu ya KMC