Home Uncategorized GHALIB, HERSI SAID, JERRY MURO, HAJI MANARA WAKUTANISHWA NA TAIFA STARS

GHALIB, HERSI SAID, JERRY MURO, HAJI MANARA WAKUTANISHWA NA TAIFA STARS

 


RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),  Wallace Karia leo Oktoba 13, 2020 ameunda Kamati ya Ushindi ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

 Kamati hiyo itaongozwa na Ghalib Said Mohamed wakati Makamu wake ni Salim Abdallah na Katibu wa Kamati hiyo ni Hersi Said. Wengine ambao wameteuliwa ni pamoja na Haji Manara na Jerry Muro ambao ni wajumbe.


Taarifa iliyotolewa leo imeeleza kuwa:-


SOMA NA HII  YANGA KUMCHOMOA BEKI WA BIASHARA UNITED