Home Uncategorized ORODHA YA NYOTA SABA WA SIMBA WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA...

ORODHA YA NYOTA SABA WA SIMBA WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA


LEO Oktoba 2, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije ametangaza kikosi kazi kitakachoingia kambni Oktoba 5,2020 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Kikosi hicho chenye jumla ya nyota 25 kimebeba nyota saba kutoka Simba ambao ni hawa hapa:-

 Aish Manula yeye ni kipa.

Shomari Kapombe beki.

Mohamed Hussein nahodha msaidizi ndani ya Simba anacheza nafasi ya beki.

Jonas Mkude kiungo mkabaji.

John Bocco yeye ni nahodha anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Mzamiru Yassin yeye ni kiungo.

Said Hamis yeye ni kiungo.

SOMA NA HII  BEKI WA LIVERPOOL KUTIMKIA ARSENAL