Home Uncategorized NYOTA WANNE WA TIMU YA YANGA WALIOCHAGULIWA TIMU YA TAIFA

NYOTA WANNE WA TIMU YA YANGA WALIOCHAGULIWA TIMU YA TAIFA


 NYOTA wanne wanaokipiga ndani ya Klabu ya Yanga wamejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji 25 wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo itaingia kambini Oktoba 5 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Nyota hao ni hawa hapa:-

Metacha Mnata yeye ni kipa.

Bakari Mwamnyeto yeye ni beki.

Ditram Nchimbi yeye ni mshambuliaji.

Feisal Salum yeye ni kiungo.

SOMA NA HII  KATWILA: WACHEZAJI MTIBWA SUGAR WANA DENI MBELE YA MASHABIKI