Home Uncategorized VPL: TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA

VPL: TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA


 Tanzania Prisons 0-0 Simba

Uwanja wa Nelson Mandela, Mbeya

Dakika ya 35 milango bado migumu kwa timu zote mbili.

Dakika ya 31 Erasto Nyoni anaokoa hatari

Dakika ya 22 Tanzania Prisons wanafanya shambulio la hatari lango la Simba, mwamuzi anasema kuwa wameotea.

Dakika ya 18: Simba wanapiga kona ya pili zote hazizai matunda ndani ya uwanja kupitia kwa Bernard Morrison

Dakika 15 zinakamilika na hakuna timu iliyoona lango la mpinzani.

Mpira ni wa nguvu nyingi kwa nyingi, Tanzania Prisons wanawapa tabu Simba Uwanja wa Nelson Mandela. Luis anapewa huduma ya kwanza.


Dakika ya 14, Shomari Kapombe anakwenda nje kwa kuwa ameumia anaingia Kenedy Juma.

Kipindi cha kwanza:-Ilanfya anaotea kwa Simba


Chris Mugalu naye ni miongoni mwa nyota wa Simba ambaye ameripotiwa kupata majeraha

SOMA NA HII  SERIKALI YA UINGEREZA YAANZA MPANGO WA KUTAKA KUIREJESHA LIGI KUU