Home Uncategorized WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA...

WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA MBELE YA KMC

 


WAZIR Junior amesema kuwa ndoto yake ni kuwa mfungaji bora wa msimu wa 2020/21 baada ya kufunga bao moja Kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC leo Oktoba 25, Uwanja wa CCM Kirumba

SOMA NA HII  BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI ZA KAZI RASMI