Home Uncategorized BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI ZA KAZI RASMI

BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI ZA KAZI RASMI

 

TUNOMBE Mukoko mshambuliaji wa zamani wa AS Vita ya Congo amemalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili.

Nyota huyo anaungana na kiungo mwenzake Tuisila Kisinda ambaye naye alikuwa  anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.

Mchora ramani kwa nyota hao kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga ni Kocha Mkuu wa AS Vita, Frolent Ibenge ambaye alikuwa akiwapa sapoti mabosi wa Yanga waliowakilisha na Injinia Hersi Said kutoka Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga.

SOMA NA HII  ALIYEWAUA SIMBA TAIFA YUPO TAYARI KUWAVAA KWA MARA NYINGINE, ATOA AHADI KUBWA