Home Uncategorized IHEFU KUFUNGUA PAZIA NA SIMBA,TANO ZA MWANZO HIZI HAPA KWA SIMBA

IHEFU KUFUNGUA PAZIA NA SIMBA,TANO ZA MWANZO HIZI HAPA KWA SIMBA


HIZI hapa mechi tano za mwanzo kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba msimu wa 2020/21:-

  Ihefu FC vs Simba SC, Septemba 6, 2020, Uwanja wa Sokoine.

 Mtibwa Sugar vs Simba SC,Septemba 12, 2020, Uwanja wa Jamhuri-Morogoro.


 Simba vs Biashara United, Septemba 20, 2020, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 Simba  v Gwambina FC, Septemba 26, 2020, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 JKT Tanzania vs Simba, Oktoba 4, 2020, Uwanja wa Jamhuri-Dodoma.

SOMA NA HII  MICHAEL SARPONG WA YANGA AIPIGIA HESABU SIMBA