Home Uncategorized KAGERA SUGAR YAZIBAKIZA POINTI TATU ZA MWADUI FC KAITABA

KAGERA SUGAR YAZIBAKIZA POINTI TATU ZA MWADUI FC KAITABA


 KIKOSI cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime leo Novemba 22 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC.

Kwenye mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba dakika 45 za mwanzo zilikamilika kwa timu zote kutoshana nguvu ya bila kufungana.


Kipindi cha pili, dakika ya 63 Kagera Sugar walinyanyuka kwa shwangwe baada ya nyota wao Hassan Mwaterema kupachika bao la kuongoza.

Bao hilo lilidumu mpaka dakika ya 90 na kuifanya Kagera Sugar kusepa na pointi tatu ikiwa nyumbani na kuipoteza Mwadui FC ambayo mwendo wake ni wakusuasua kwa msimu wa 2020/21. 

SOMA NA HII  VIGONGO VIKALI VYA KUFUNGIA MWAKA 2020